Monday, February 15, 2016


Waziri wa Afya, Ummy Mwaimu amewasimamisha kazi vigogo wanne wa bohari ya dawa (MSD) kwa tuhuma za
ubadhirifu wa billion 1 na nusu ili kupisha uchunguzi dhidi yao.

0 comments:

Post a Comment