Saturday, February 13, 2016



Mashabiki wa Wema Sepetu waliingiwa na hofu kali baada ya mtangazaji wa Clouds FM, Soudy Brown kuandika post yenye utata.
“Pole Dada @wemasepetu mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu, akupe moyo wa uvumilivu pia ili utoke hospitali ukiwa salama inshaallah, kazi Yake Mola haina makosa 

0 comments:

Post a Comment