Habari
zilizotufikia hivi punde tu zinasema kwamba askari 3 wamefariki dunia
huku wengine 3 wawili wakiwa majeruhi na hali zao ni mbaya baada ya
kupata ajali mbaya iliyosababishwa na tairi la gari yao iliyokuwa katika
msafara wa viongozi wa CCM mkoani Singida kupasuka na kupinduka katika
eneo la Mkiwa, wilayani Ikungi Ni baada ya tairi ya gari kupasuka na kupoteza muelekeo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment