Hali ilivyo katika Daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam liko kwenye hatua za mwisho kulikamilishwa, ambapo mpaka sasa limekamilika kwa asilimia 99.5 wahusika wanasema changamoto iliyopo ni kwamba barabara zinazounganishwa na Daraja bado hazijakamilika. Picha kwa hisani ya Idrisa Magomeni.
0 comments:
Post a Comment