Posted by Williammalecela.com on Saturday, February 27, 2016
Gianni Infantino amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
Infantino amempiga boa mpinzani wake mkubwa Sheikh Salman al-Khalifa.
Infantino ameibuka na ushindi wa kura 115 dhidi ya Sheikh Salman aliyepata 88.
0 comments:
Post a Comment