Wimbo wa taifa "Mungu ibariki afrika" ulikuwa ni wimbo wa Kizulu ".Nkosi sikelel' Afrika ". mwaka 1873 mwalimu Enock santonga wa africa kusini aliutunga. Lengo ilikuwa ni kutunga wimbo wa Shule aliyokuwa anafundisha. Leo hii tunauimba sio sisi tu bali S/Africa, Zimbabwe.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment