Thursday, February 4, 2016


Ndege Binafsi ya Donald Trump mmoja wa wagombea urais wa Marekani anae wakimbiza wenzake kwa kasi kubwa.

Ndege hii ina ukubwa wa kubeba abiria 134 lakini imetengenezwa kwa namna ambayo inabeba abiria 24 tu huku kukiwa na vyumba vya shughuli mbali mbali za kibinafsi na kiofisi. Picha ndogo Trump akifanya mkutano na waandishi wa habari akiwa angani ndani ya ndege yake.

0 comments:

Post a Comment