Weekend ya Feb 7 2016 staa wa bongo fleva Nuh Mziwanda aliungana na mastaa wengine kama Barakah da Prince, Bill Nas, Country boy na wengine kibao na kuidondosha show ya ‘Figisu za Mziwanda‘ iliyofanyika Club Billcanas, Dar es salaam.
Hapa nimekusogezea picha nilizozipata kwenye show hiyo
.
.
.
Barakah Da Prince
.
U
0 comments:
Post a Comment