Monday, February 22, 2016

Diamond, Nay wa Mitego na Alaine wa Jamaica waingia studio kutayarisha wimbo
Diamond Platnumz, Nay wa Mitego pamoja na msanii mwana dada  wa Jamaica, Alaine wameingia studio kwa kile kinachoonekana kama kurekodi wimbo kolabo.
Bado haijulikani ni nani amemshirikisha nani lakini kuna uwezekano mkubwa Alaine amemshirikisha Diamond.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment