“Nyumba ziko kwenye finishing.Kwa sababu tumetengeneza kijiji Kisewe mbele ya uwanja wa Azam” alisema meneja
huyo kwenye mahojiano ya Yamoto Band kwenye kitu kimoja cha redio.
Kwa upande mwingine Yamoto band wamesema kuwa hakuna bendi yoyote inayowatishia hapa Tanzania zaidi ya Msondo Ngoma pia vijana wa bendi hiyo wamekanusha tetesi kuwa usimamizi wa bendi hio unawanyonya na kusema mpaka sasa maisha yao yanaenda poa
Source: Magic Fm
0 comments:
Post a Comment