Posted by Williammalecela.com on Thursday, February 11, 2016
Mwanamke
wa kitongoji cha Buriba, kata ya Sirari, wilayani Tarime,
anayejishughulisha na biashara ya kuuza kibanda cha duka, Sophia Manguye
(46), amefanikiwa kuwanyang'anya
majambazi watatu bunduki moja aina ya SMG yenye risasi 27, baada ya
kupambana nao ndani ya kibanda chake cha biashara.
0 comments:
Post a Comment