Tuesday, February 2, 2016

Leo Febr 02 2016 Bunge la 11 limeendelea Dodoma, lakini moja ya matukio yaliyojitokeza ni hili la majibizano ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee na Mbunge wa Kyela Dk. Harrison
Mwakyembe. Hapa nimekusogezea tukio zima lilivyoanza hadi kumalizika.

1 comment:

  1. YAH MH MDEE AMESIKIKA AKIONYESHA MAPUNGUFU YAKE ,ILA ANAMAANISHA NINI KUWAAMBIA WAHESHIMIWA WABUNGE WENZAKE MBONA WANAJIKOMBA SANA KWA RAISI NA ........,?HAYO NIMATUMIZI MABAYA YA AKILI,NA NIDHAMU MBAYA MBELE YA BUNGE TUKUFU,PAMOJA NA KUWADHALILISHA WABUNGE WENZAKE KANA KWAMBA WANAFANYA KAZI PASIPOKUTUMIA AKILI ZAO BALI KUJIDHALILISHA KWA VIONGOZI WAO KWAMANUFAA YAO BINAFSI.DOES IT MEAN THAT THEY DO NOT USE THEIR COMMON SENSE LEATHER THAN BEING PRETENDER TO THEIR BOSSES?WE ALL BEEN TO SCHOOL,THAT STATEMENT IS NOT ACCEPTED! SHE NEED TO APOLOGIZE!

    ReplyDelete