Tuesday, February 16, 2016


Usikose saa 1 deilee kuongea na supastaa wako, leo tutakuwa na William Malecela a.k.a Le Mutuz kwenye Vodacom Hourthon hapa hapa kwenye ukurasa wetu kuanzia saa 9- saa 10 Alasiri. Wafahamishe washkaji na uandae swali lako.

#OngeaDeilee
Daud Valery naomba mnitoe kwenye huduma mlio niunga make naweka vocha inakatwa nikichelewa kujiunga
Cheryl Joseph Balolage
Cheryl Joseph Balolage Siku hizi voda mnaudhi !Usanii mwingi sana !Mtu unajiunga kifurushi cha cheka ,dakika hata hazijaisha unakuta calls hazitoki wala msg ,bundle ikiisha mtandao unarudi ,tukipiga customer care mnatujibu eti ipo siku maalumu ya kutoa fidia !!Sasa unajua mi...See More
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Tafadhali wasiliana nasi pindi tatizo linapojitokeza.
Emanuely Gang'ai
Emanuely Gang'ai ila hapo kumuweka lemutuz mmechemka mngetafuta mtu mwingine.. Sielewagi cha maana anachokifanya huyu lemutuz"sharobaro" manake ni mropokaji tu hanaga hoja za msingi,hata ofisi hana mjini? Noah yake ndio ofisi yake
Stanslaus Mrema
Stanslaus Mrema Haaa HAA acha kumuharibia bhana** ataishi vipi sasa
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Ahsante kwa maoni na tutayfanyia kazi.
Emanuely Gang'ai
Emanuely Gang'ai Stanslaus Mrema nakuambia kweli we mfuatilie Le mutuz vizuri utaona moja hana ofisi na gari yake aina ya noah kaibrand na mapicha yake ndio ofisi yake, mbili hajiheshimu anapenda sana vijana wa mjini wanasema 'kula bata" utamkuta na malaya wamekaa sehe...See More
Le Mutuz Nation
Le Mutuz Nation Emanuely KWA TAARIFA YAKO NI KWAMBA HII CHAT INAFANYIKIA OFISINI KWANGU HAPA TANCOT HOUSE 2ND FL KARIBU SANA NA PIA NINAMILIKI KAMPUNI YA BLOGU YA WANANCHI MEDIA COMPANY LTD, KAMA UNA SHIDA YA AJIRA NITAFUTE AT 0717618997 MENGINE UMEDANGANYWA SANA NIPIGIE NIKUSAIDIE SAWA BOSS


Emanuel Nsabi Ngodoki ni lini sasa mtatuletea mtandao wa vodacom kata ya Nkiniziwa wilaya Nzega Tabora maana ukitaka kupiga simu mpaka upande juu ya mti ni lini mtaleta mtandao??
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Tafadhali tutumie namba yako ya simu kwa njia ya inbox kwa msaada zaidi.
Sylvester Joseph
Sylvester Joseph Naomba kujua plz, kuna huduma ambayo unajiunga kwa 500 unapata dk 250 voda to voda kwa siku 7, au 200 dk 100 kwa siku 7 voda to voda, huduma hiyo unaipata kwakubonyeza *149*03# sasa mm nimefanya hivyo imenikatalia, je wanaotumia huduma hiyo lazima wawe na vigezo vp?
Vodacom Tanzania Habari, kwa sasa huduma hiyo imekwisha. Endelea kuwa nasi ka ofa zaidi.^JM
Benado Benard Bårcëlonå
Benado Benard Bårcëlonå NAOMBA MNITOE KWENYE HUDUMA YENU MLIYO NIUNGA MANA KILA NIKIWEKA VOCHA NA KATWA
0766477965
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Kwa sasa huna huduma inayokuchaji. Tafadhali tujulishe kama tatizo litajirudia.^JM
Tumaini Mosha
Tumaini Mosha Bora sasa kuhamia airtel au Tigo naona hamna manufaa ya mteja mnajali biashara sana!
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza kutokana na mabadiliko hayo.
Grace Ngalaba
Grace Ngalaba hiv kifurushi cha sh 500 dk hamsin vod to kwenda voda kuna watu mliowachagua wa kuwapa au imekuweje?maana wengine tukijiunga tunakataliwa
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Habari, kwa sasa ofa hiyo imekwisha. Endelea kuwa nasi kwa ofa zaidi.
Filipo Epifani
Filipo Epifani Vodacom asanteni kwa huduma zenu ila tuna waoomba vifurushi vya internet mtu punguzie bei au mrudishe ile ya bila kikomo ya kuanzia 1000 nakuendele toja mme vitoa tuna pata shida internet ya book sasa hivi ni majanga jamani tusikieni basiii
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Ahsante kwa kwa maoni na tutayayafanyia kazi. Endelea kufurahia huduma zetu.^JM
Erique Josein
Erique Josein Mi cjaielewa hiyo ongea daily...yaan unaweka vocha unatumia bila kuunga au?
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Ili kupata ofa hii unatakiwa ujiunge kwa kupiga namba *149*74# kisha chagua namba 2 na baada ya kuunganishwa piga simu Vodacom kwenda Vodacom kwa muda wa dakika 10 kwa Tsh 60 kila dakika ndani ya saa 24 au kutuma sms 10 kwa Tsh 10 kila sms ili kupata sms 60 za bure.
Michael Kikoti
Michael Kikoti voda mimliniuzi xana juzi kati hapa nimenunua mb 120.lakinimtandao ukawa unazingua alafu mdaukiisha mnaniambia nime fikamwisho.mbona hamtujali watejawenu au tuame mtandao.
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Tutumie namba yako ya simu kwa njia ya inbox kwa msaada zaidi.
Rita Welch
Rita Welch naomba kujua why kifuruxh cha voda to voda cha sh 500 kinaixha xa 6 usiku badala ya maxaa 24 ?
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Ndio uaratibu uliowekwa.
Heleman Brown
Heleman Brown nyie voda mnabana sana kwenye #MB zenu sh.500 mb1 nimesha jitoa voda.
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Tunachukua kama maoni na tutayfanyia kazi.
Alexander Kapinga
Alexander Kapinga Tunaomba kifurushi cha chuo kirudi maana mnatufanya tuhame mtandao
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Kipo na kwa sasa unapata MB tu.
Willy Ramos
Willy Ramos Voda ni mafisadi siku hz vle mmekua waizi sana
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Tafadhali tutumie namba yako ya simu inbox kwa msaada zaidi.
Johnson George
Johnson George Mmeniua vodacom
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Unatatizo gani kwa msaada zaidi.^JM
Ally Ngwambi Kiwanja II
Ally Ngwambi Kiwanja II nieleweshen iyo inakuwaje?
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Jiunge na ongea deilee kisha fuatilia maelezo ya jinsi ya kuongea na Lemutuz
Hashim Ruhazi
Hashim Ruhazi KWANINI VIFURUSHI VYENU VINABADILIKA KILA KUKICHA?MNATUCHANGANYA,HALAFU NAWAOMBA MNITOE KWENYE HUDUMA YA MIKITO NA LOUNGE TAFADHALI SANA 0766232539
Vodacom Tanzania
Vodacom Tanzania Kujitoa kwenye huduma hiyo tuma neno Ondoa kwenda namba 15568
Raymond Mico Kiwale
Anifa Alli
Anifa Alli ipo pw sn vodacom
Cent Dar Clei
Cent Dar Clei kama mtu anataka awe wakala wa vodacom(freelancer) unatakiwa uwe na vgezo vp?@by@Innocent mbilla
Kisha Lusajo
Kisha Lusajo Me naomba mnitoe kwenye huduma ya vodacom sokon maana mi nikitaka kujiondoa inagoma
Gadau Kelvin
Gadau Kelvin Sawa bhana ila cjapenda hata kidogo mlivyoiondoa ofa ya chuo (#UniversityPromo)
Barick Fredinandi Wa Njombe
Barick Fredinandi Wa Njombe naomba mnitoe kwenye sim tv maajuzi niliwapigia mnitoe mkanipa namba za kujiondoa matokeo yake nikaishia kulambwa hela sim tv haijatoka #namba0763803011
Zainabu Rashid
Zainabu Rashid Mbona hamleti pesa za kudaka kama wenzenu ma gari hamleti mb mnapunguza
Jasitini Leonard
Jasitini Leonard WA LUKANJA BUSHANGARO KARAGWE KAGERA mtandao wa voda na upenda sana
Vitus Samwel
Vitus Samwel Ukiwa na vodacom kwel kaz ni kwako
Pendo Oisso
Pendo Oisso Nataka kuongea na lemutuz
Adam Adams Nazareth
Adam Adams Nazareth Voda Mko Poa Mm Naomben Mnipe Kazi Ya Kulusha Vocha Alafu Mnilipe Kwa Mwezi Jamani Au Munasemaje
Mfaume Husein
Mfaume Husein iv mbona nyie voda mnakuwa hamueleweki kama inzi za kikwete ? maan kila siku mnatatizo kweny mpesa je kama me Nina mdogo wangu na anaumw alfu pesa yangu ipo hapo nafanyje sasa
Salmin Said
Salmin Said punguzeni makato yasioeleweka
Hussein Abasi
Hussein Abasi Hugo sio super star
Habiba Madeni
Habiba Madeni Mmepunguza mb tena
Josia Sizya
Josia Sizya poa tutaangalia.
Valentine Peter Shirima
Bahati Madaki Bama
Paul Joseph
From Dar es Salaam, Tanzania

0 comments:

Post a Comment