Wednesday, February 3, 2016

 
Ok Guys naomba kurudia tena kuhusu Semina ya  nitakayoifanya Tarehe 26/2/2016 ni kwamba nimeangalia majina nimegundua bado tunahitaji watu wengine zaidi. ....guys this could be on chance in your life kukutana na Vijana kama wewe waliopigana na Maisha mpaka kufanikiwa watakuambia walivyopitia njia ngumu kama unazipitia WEWE sasa hivi mpaka kufanikiwa....nia na madhumuni ni ninaamini kuna Vijana wengi out there ambao mmekata tamaa kabisa ya Maisha niamini hii Semina nitakupa Hope Matumaini mapya kabisa ya kuanza Maisha upya...na pia ninajaribu sana kuyaomba makampuni MBALI MBALI yatoe nafasi za kazi HAPO kwenye Semina ....kiingilio to the Semina ni Bure tutaanza Saa Tatu mpaka Saa Tisa Mchana at GOLDEN JUBILEE TOWERS GOROFA YA NNE ....please kama ulikuwa HUJUI TUMA MAJINA YAKO MAWILI NA NAMBA YAKO YA SIMU at +255 784 714 283 utapigiwa simu kuambiwa jina lako limepokelewa na details za Semina guys please don't miss this Super Golden Opportunity ya lifetime please join me twende kwa mbele! "KUMBUKA KUZALIWA MASIKINI SIO A DEATH SENTENCE" le Mutuz

0 comments:

Post a Comment