Posted by Williammalecela.com on Saturday, February 20, 2016
 |
| Kuanzia Tarehe 25 mpaka Tarehe 27 za Mwezi huu wa Pili nitafanya Sherehe za kusherehekea Kampuni yangu ya Blogu ya Wananchi Media Limited Company kutimiza Miaka 3 toka niianzishe Mwaka 2012. Ninataka kusherehekea Ubunifu wangu wa kununua Laptop kwa UDS $ 500 at GMO pale Clocktower Dar na kufungua this blog ambayo leo imekuwa ni a big officially registered Company employing 4 youths from our local Universities. As we move on since I will soon be moving to the African Swahili Media Radio and TV ninategemea kampuni hii kuongezeka na kuweza kutoa ajira zaidi kwa vijana zaidi ya 10 mpaka mwisho wa mwaka huu. Tulianza na Viewers 200 kwa siku mpaka leo tuna Viewers 70,000 mpaka 100,000 kwa siku, tulianza na Tangazo moja la bisahara from Delina Group Inc. mpaka leo tuna Makampuni 15 yanayotangaza matangazo yao kwenye Kampuni yetu kupitia Facebook, Twitter, Isntagram na Blog kwa ujumla wake tuna uwezo wa kuwafikia Viewers 500,000 kwa siku. Naomba kuchukua nafasi hii kuwashuru wadhamini wetu wengi waliojitokeza kutusaidia kufanikisha sherehe hizi. Ratiba kamili ya Sherehe hizi ni kwamba tutaanza Press Conference Tarehe 25/2/2016 ambapo tutaweka mezani mbele ya Media mafanikio ya blog hii na tutakayoyafanya kwenye Sherehe hizi na Tarehe 26/2/2016 tutafanya Semina maalum ambayo tutawakutanisha Vijana 300 wanaopigana na maisha na Vijana matajiri 6 pamoja na Vijana 3 Viongozi wa Taifa, wawape darasa Vijana hao jinsi walivyopitia njia ngumu za Maisha mpaka kufikia walipo sasa kwenye mafanikio. Siku ya Tarehe 27/2/2016 itakuwa ni kilele cha Sherehe hizi at Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel ambako tutakuwa na Presentation Point na Dinner & Dance kwa Wageni Waalikwa tu, again thanks guys na lets Celebrate our sweat and blood!! - Le Mutuz Nation |

 |
| Aliyekuwa Kiongozi wa Kampeni za Rais Magufuli, Mwenyekiti wa Jumuiya ya CCM/Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mh. Bulembo, ndiye atakayekuwa mgeni rasmi wa Sherehe hizi zitakazofikia kilele Tarehe 27/2/2016 kwa Dinner and Dance at Hyatt Regency Kilimanjaro Hotel Dar. Sherehe hizo zitaanza Saa Mbili usiku na kuhudhuriwa na Celebrities mbali mbali wa hapa mjini Dar. |
 |
| Kibo Ballroom Hyatt Regency Kempisk Hotel Matayarisho ya Sherehe za Blogu ya Wananchi Media Company Limited kufikisha Miaka 3 ambazo kilele chake kitafanyikia ukumbi huu ambao tayari upo matayarishoni sasa hivi kama unavyoonekana hapo live!! |
 |
| Super Bilionea Davis Mosha ndiye atakayekuwa mzungumzaji mkuu wa Semina ya "KUZALIWA MASIKINI SIO ADABU YA KIFO" ambayo ni part ya sherehe hizi za Miaka 3 ya kuzaliwa kwa this blog at the Golden Towers downtown Dar siku ya tarehe 26/2/2016. |
0 comments:
Post a Comment