WAZIRI MWIGULU AKIONGEA NA WANANCHI MDA HUU USIKU HAPA MACHINJIONI.




Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Mnchemba usiku huu amefanya ziara ya Kushtukiza tena katika Machinjio ya Ukonga Mazizi kwa lengo la kubaini wanaohujumu miundombunu pamoja na kukwepa Kodi za serikali.
Hata hivyo katika Ujumbe wake kwenye ukurasa wake wa Facebook kuwa atachukua hatua ziadi kesho kiofisi zaidi.

0 comments:
Post a Comment