Posted by Williammalecela.com on Monday, February 01, 2016
 |
| Leo bungeni nikiihoji serikali katika swala la kero ya upungufu wa
madawa katika hospital ya kibena wilaya ya njombe na uchakavu wa
majengo ya hospital ......majibu ya serikali katika bajeti ya mwaka
2015/2016 imepanga kutumia shilingi milioni 260 kwa ajili ya ujenzi wa
uzio na ukarabati wa chumba cha X-Ray na vile vile zimeshaletwa shilingi
milioni 77.78 mil kati 106 milioni zilizotengwa kwa ajili ya ununuzi wa
madawa lkn kubwa zaidi ivi sasa serikali iko kwenye mpango wa
kupandisha hospital ya kibena kuwa hospital ya rufaa ya mkoa wa
njombe... |
0 comments:
Post a Comment