Heather Watson mchezaji wa mpira wa tenesi anayekuja kwa kasi na kufunika kiwango cha wanadada wa familia moja Serina Williams na ndugu zake.Leo Serina Williams ameshinda kwa mbinde na matokeo ya ukaribiano na mwanadada huyo mwiba kwenye tenesi.Familia hiyo inabidi kujipanga ili kuendelea kuweka rekodi ya familia yao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment