Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (katikati) akisisitiza uwajibikaji kwa watumishi wa MKURABITA alipoitembelea ofisi hiyo jana.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) akiwa katika kikao na watumishi wa MKURABITA alipoitembelea ofisi hiyo jana. Wengine ni waandishi wa habari walioudhuria katika tukio hilo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na watumishi wa MKURABITA alipoitembelea ofisi hiyo jana.
Mratibu wa Mpango MKURABITA Bi. Seraphia R. Mgembe (kushoto) akielezea majukumu ya ofisi yake kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki (Mb) alipoitembelea ofisi hiyo jana.
0 comments:
Post a Comment