Wednesday, February 17, 2016



Mimba ya staa wa filamu  Bongo, Wema Sepetu iliyokuwa gumzo kila kona, ni kama puto kwani baada ya kupulizwa, kujaa na kuvuma sana, hatimaye limepasuka na kuacha vilio kwa familia na watu wake wa karibu, Risasi Mchanganyiko linaweza kuripoti.


Chanzo chetu makini kilichoomba hifadhi ya jina lake ili kulinda ‘ushosti’ wake na Wema, kimeliambia gazeti hili kuwa mimba ya supastaa huyo, ambayo inadaiwa kutojulikana mhusika halisi, imetoka baada ya kuharibika muda mfupi tangu watoke kujiachia katika viwanja vya maraha jijini   

0 comments:

Post a Comment