Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro ( mwenyekiti wa kamati za ulinzi na usalama mikoa ya manyara, Arusha na kilimanjaro) akiwahutubia wakazi wa mererani na wachimbaji wadogowadogo kuhusu mipango ya serikali kuhusu kujenga na kuifanya mererani kuwa EPZ biashara ya madini ifanyike mererani, utatuzi wa migogoro ya uchimbaji na uwezeshaji wachimbaji wadogo

0 comments:
Post a Comment