Posted by Williammalecela.com on Tuesday, February 02, 2016
 |
Mkuu Mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla Akutana na uongozi wa hospitali ya mawenzi,
bohari ya madawa kanda ya kaskazini na meneja wa bima ya Afya mkoa
Kikimanjaro kujadili uhakika upatikanaji wa dawa katika hospitali ya
Mawenzi na hospitali za Mkoa wa Kilimanjaro Ameagiza na wameazimia
Dawa zote muhimu zipatikane na kupunguza urasimu wa upatikanaji wa dawa
bohari ya kanda na kuanzia sasa dawa zote zitanunuliwa Duka la MSD Moshi
na MSD Arusha Ameagiza duka kubwa la dawa likamilike ndani ya
hospitali ya mawenzi. Leo ametembelea jengo ambalo duka hilo
litafunguliwa na tayari mfuko wa bima wa afya Upo tayari kuwakopesha
fedha za kununulia madawa hayo. |
0 comments:
Post a Comment