Friday, February 5, 2016

Ciara
Msanii wa Rnb Ciara anategemewa kufanya show kwenye jukwa moja na wasanii wakali wa Nigeria kwenye show ya Dare Art AladeLove Like a Movie’ inayofanyika February 28, 2016.

Show hii iliwahi kushirikisha mastaa wakubwa wa hollywood kama Kim Kardarshian na Kelly Rowland.
Wasanii kutoka Nigeria watakao kuwa kwenye jukwa mmoja na Ciara ni pamoja na Yemi Alade,Adekunle Gold,Iyanya, Sound Sultan, Zaina, Omawumi, Sammy, Olamide, Vector, Kaffy, Simi, Tolu, Blackky, Styl Plus, Jazzman Olofin, Weird MC, Kenny Black.
Darey walitangaza habari hii hivi
“The long wait is over! Love Like A Movie 3 is everything you’ve dreamed and more! We’re building new worlds and exploring some very interesting concepts. Looking forward to sharing this beautiful experience with you. Super excited! Date: 28th February 2016. Venue: Eko Hotel Convention Centre, Lagos. SaveTheDate LLAMNaked.”
CHANZO;SAMMISAGO

0 comments:

Post a Comment