Monday, February 15, 2016

Chris-Brown-kanye
Chris Brown na ‘X’ wake, Karreuche Tran.
ALIYEKUWA mpenzi wa staa wa pop, Chris Brown,
mwanamitindo na muigizaji, Karreuche Tran amefunguka kwenye mtandao wa Twitter akisema kuwa kwa sasa amefungua milango ya uhusiano na kwamba yupo tayari kumpokea mpenzi baada ya kukaa mpweke kwa muda mrefu japo amedai itakuwa vigumu kumpata mpenzi wa kweli ambaye ataweza kumpa mapenzi ya dhati.
Ni Chris Brown pekee ndiye mwenye jibu la hayo yote.
Alichokiandika Karreuche.

Fuck YOU!😂😂😂 A photo posted by @chrisbrownofficial on 

MOOD:😂 A photo posted by @chrisbrownofficial on 

0 comments:

Post a Comment