Msanii wa R&B Tanzania Ben Pol ameweka wazi kuwa hana ugomvi wowote na msanii wa kenya Avril ambaye
Hata hivyo Ben Pol amesema kuwa amejifunza kitu akitaka kufanya kolabo na mtu yeyote anatakiwa awe na mpango wa pili ikitokea huyo mtu hajatokea kwenye video kama ilivyotokea kwa Avril.
“Kusema ukweli mimi na Avril hatujakosana,lakini nilichojifunza ni kuwa na back up plan,kwa mfano unaweza ukawa na track mbili incase labda kikitokea chochote una shuti nyingine” alisema Ben Pol.
Source: Clouds
0 comments:
Post a Comment