Sunday, February 28, 2016

elton-john-janet-jackson
Baada ya msanii Elton John kusema pop star Madonna alikuwa anafanya “lip-syncing” [Kuimba juu ya mashairi wakati wa live show] zaidi ya miaka kumi iliyopita sasa Elton amehamia kwa msanii mwingine.

Elton John sasa anasema msanii Janet Jackson naye amefanya hivyo hivi karibuni.  Akihojiwa na Jarida la Rolling Stone anasema “Magazeti yanaandika show ya Janet ni kali,hakuna show pale ,ni msanii anaimba juu ya mashairi, bora nikaangalie show ya Drug Queen”.

0 comments:

Post a Comment