Thursday, February 25, 2016

MZIWANDAA900[1]
‘’ Huwa naongea ukweli, ni kweli nilikuwa naishi kwa mwanamke wangu (Shilole) alikuwa hataki ninunue hata feni ,hajawahi kuniambia ninunue friji,kitanda niweke nyumbani kwa mama yangu vikae,ila wazazi wangu na ndugu zangu walikuwa wakinihimiza kuwa umri unaenda nifungue akili yangu nifikirie ninachopaswa kufanya, mapenzi yasiniendekeze’’Nuh 
Nuh%20Mziwanda%20[1]
‘’Nimeyaona pia namwomba msamaha mama yangu,ndugu zangu,marafiki zangu waliokuwa wananipa ushauri mimi nilikuwa naona nimepata kuwa nimepatikana sasa hivi ni Nuh mpya nina maisha yangu ,nafanya shughuli zangu,’’Nuh

0 comments:

Post a Comment