Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania, Herieth Paul ambaye mwezi huu alitangazwa kuwa kisura mpya wa brand ya vipodozi maarufu duniani, Maybelline hatimaye amekutanishwa na visura wenzie.
Herieth Paul akiwa na Jourdan Dunn na Gigi Hadid
Mrembo huyo ambaye alizaliwa Dar es Salaam kabla ya kuhamia Canada akiwa na umri wa miaka 10 na kitu, alikutanishwa na masupermodel wengine wakiwemo Jourdan Dunn, Gigi Hadid na Emily DiDonato ambao pia ni visura wa brand hiyo.



0 comments:
Post a Comment