Friday, February 19, 2016

PICHA: HUYU NDIYE TANZANIA ONE KIDATO CHA NNEHuyu ndiye mwanafunzi bora wa kwanza Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne 2015, Butogwa Charles Shija.
Binti huyu amefanikiwa kuwagaragaza watoto wa kiume kibao hapa nchini.

0 comments:

Post a Comment