USIKU wa kuamkia leo ulikuwa wa aina yake kwa msanii wa Bongo, Fleva Ruby, alipojumuika na mashabiki zake ndani ya Ukumbi wa Maisha Basement Makumbusho jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusherehekea kwa pamoja Siku ya Wapendanao yaani Valentine’s Day.
(Habari/Picha:Musa Mateja/GPL)
0 comments:
Post a Comment