Ikiwa leo ni siku ya wapendanao duniani, taasisi ya One Billion Rising ikishirikiana na wadau mbalimbali wamefanya maandamano ya amani kupinga unyanyasaji wa wanawake.


Maandamano hayo ambayo yalianzia Msasani Club na kuishia Namanga, yamelenga kuihamasisha jamii kuachana na vitendo ambavyo zinawakandamiza wanawake. Angalia picha ambazo zina mabango mbalimbali yenye ujumbe.

Mabango yakiwa na ujumbe mbalimbali

Mpaka kieleweke

Nancy Sumari akitoa ujumbe

Kikundi cha ngoma kikionyesha mambo yao




















0 comments:
Post a Comment