Sunday, February 21, 2016

minaj
Nicki Minaj analeta stori ya maisha yake kwneye Tv kupitia kipindi cha vichekesho kinachoitwa “Nicki.”. Shooting ya kipindi hichi imeanza kufanyika mjini New York Marekani

Mwigizaji Ariana Neal anaigiza kama Nicki Minaj alivyokuwa mtoto.
minaj nicki-set-1 nicki-set-2 nicki-set-3 nicki-set-4 nicki-set-5

0 comments:

Post a Comment