
Wikiendi hii imekuwa ya Queen B. Siku moja baada ya kuachia video na wimbo mpya, Formation Beyonce amebaki kwenye headlines kwa kupiga show ya nguvu kwenye mapumziko ya Super Bowl Jumapili hii.

Akiwa amevalia nguo kama Michael Jackson, Bey alitumbuiza pamoja na Bruno Mars na Coldplay. Tazama picha zaidi hapo chini.














Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
0 comments:
Post a Comment