Saturday, February 13, 2016

Zuma yupo analihutubia Bunge, amechukua hatua za kukata matumizi ya serikali sawasawa kabisa na alivyofanya Magufuli , mfano safari za nje lazima zizipate kibali, sherehe za kibunge,
kusafiri nje na delegation kubwa marufuku na mengine mengi.

Ama kweli Magufuli ni mfano duniani!

0 comments:

Post a Comment