Posted by Williammalecela.com on Monday, February 29, 2016
Mbunge wa jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete mwenye miwani akiwa katika moja ya mikutano jimboni humo.
Mbunge wa jimbo la Chalinze ,Ridhiwani Kikwete ,ameanzisha mfuko wa kuchangia sekta ya elimu jimboni humo,ambapo lengo ni kupata kiasi cha sh.Mil 120 ili kutatua changamoto mbalimbali za kielimu wanazokabiliana nazo.
0 comments:
Post a Comment