Saturday, February 27, 2016

Mange Kimambi Alivalia Njuga Swala la Shutuma za Diva Loveness Kung'ang'ani Pesa za Kilema Zilizochangwa na Wadau..Adai lazima Haki Itendeke...

From @mangekimambi_ - Ni mwezi Sasa Toka @divathebawse atume hii message kwa Mama Husna. Ofcourse Kesho yake huyo Msaidizi wake Maya hakutuma hata senti. Mama wa watu kuanza kudai pesa zake ndo kaonekana hana respect! . .
It's 2016 let's use social media Kwa mambo ya Maana zaidi ya umbea..... Ni wanyonge wengi wanafanyiwa Hivi Na hizi foundation.

Diva mwenyewe Hana hata mshipa wa aibu Sidhani hata Kama ana mpango wa kutoa Hizo pesa........ Ndo kwanza anajisexisha insta hana hata time.... Roho ngumuuuuu Mpaka! But tusikate tamaaaa lazma Huyu tumfanye mfano. Kuna Mtu kajitolea kumsaidia Huyu mama kufatilia hii kesi kisheria, , dhumuni sio tu hiyo laki 7 tu Ila dhumuni Ni kukomesha uonevu huu....

0 comments:

Post a Comment