Jana
pande za SlipWay ,Ali Kiba alizindua video yake ya Lupela lakini
mipango yake ilikuwa ni kufanya uzinduzi wa video hiyo kwenye mbuga za
wanyama.
@cloudsfmtz on Instagram
‘’Nilitamani sana kwenda kufanya ndani ya mbuga ili I’make sense’ zaidi ili ‘honey’ wangu Lupela ainjoy zaidi lakini kiukweli ilikuwa ni uoga wangu tu,asije akatokea simba halafu Lupela akafia pale pale,lakini sio kitu tumefanya kitu kizuri na tumejaribu ku’create’ vitu ambavyo watu watapenda tumecheza,tumeinjoi,kuna ‘parts’ za elephants kidogo kuonyesha kwamba najali jinsi gani kwamba mimi ni balozi nafanya kazi yangu vizuri,’’Ali Kiba
@cloudsfmtz on Instagram

0 comments:
Post a Comment