Tuesday, February 9, 2016

Kama wewe shabiki au mpenzi wa Star wa Bongo fleva na mmiliki wa hit song ya ‘Utanipenda’ Diamond Platnumz basi good news ikufikie kupitia huu ujumbe aliokuwekea kupitia account yake ya Instagram na kuandika maneno haya.

moooooooooooooooooooooo333333333333
Kaa karibu na Social Media na Tv zako… Ndani ya Wiki Hii Nakudondoshea Video Mpya...’

0 comments:

Post a Comment