Posted by Williammalecela.com on Monday, February 08, 2016
Malovee tena! Siku
chache baada mwanamitindo Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ na Mfalme wa
Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, kumwagana, hatimaye habari za
chini ya kapeti zimevuja zikidai kwamba Jokate ameamua kumwangukia mama
mzazi wa Kiba ili kunusuru penzi hilo na sasa mapenzi yamerudi upya.
0 comments:
Post a Comment