Monday, February 8, 2016



 

Hii pia ni habari njema! Kisa mimba, Miss Tanzania 2006 aliye pia staa wa sinema za Bongo, Wema Sepetu amejikuta akiteswa na kitumbo hicho kila kukicha na habari mpya ni yeye kutapika huku
wapambe wakisema mbali ya chakula kingine, pia mboga ya majani aina ya matembele ‘tembele’ ilikuwepo, nenda na Ijumaa Wikienda.

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

0 comments:

Post a Comment