King Oyo ana umri wa miaka 18 amaongoza watu zaidi ya million mbili.Husoma shule ya pekeyake na inaulinzi mkubwa wa jeshi.Baba yake alifariki 1995 amebaki na mama yake Qeen Best Kamigisa.Huwa anatamani kucheza kama vijana wenzake lakini hushindwa hukaa vikao na wazee umri wa babu yake lakini yeye ndo msemaji anaheshimiwa hatari.
anapopita watu hulala chini ishara ya kumsalimia.
hii ni kasri anayoishi ipo juu ya mlima.
Rais Yoel Museven hakimsalimia kwa heshima.
huo ndo ulinzi wake










0 comments:
Post a Comment