Posted by Williammalecela.com on Wednesday, February 10, 2016
 |
"Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje, Waziri wa elimu na
Waziri wa Maji na nishati awamu ya kwanza ISAEl ELINWINGA amefariki
dunia usiku wa leo. Msiba upo kijijini kwake LOSAA kata ya masama
Magharibi. Mazishi yatafanyika nyumbani kwa marehemu Losaa siku ya
Jumamosi. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amen" - Mh. Amos Makalla MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO. |
0 comments:
Post a Comment