Alikiba aliungana na watu wake katika uzinduzi wa ngoma yake mpya ‘Lupela‘ kwenye Hotel ya Slipway Dar es salaam. Hapa nimekusogezea baadhi ya matukio katika picha Alikiba mbele ya waandishi wa habari . Mtangazaji wa Clouds Tv Shadee Alikiba na Ommy Dimpoz Alikiba na Mwana FA
0 comments:
Post a Comment