Msanii Nay wa Mitego baada ya nyimbo yake kukatazwa kuchezwa katika vituo mbalimbali vya radio na Basata ameachia video ya wimbo huo unaitwa “Shika Adabu Yako”, Video imeongozwa na Nicklass, angalia hapa alafu toa maoni yako.
Tazama video mpya kutoka kwa Nay wa Mitego,Shika adabu yako.Wimbo ambao umeleta kashi kashi nyingi kutokana na Nay wa mitego kuwachana wasanii wenzake.Enjoy.
0 comments:
Post a Comment