Tuesday, February 16, 2016


@Le Mutuz Nation:- Kutokana na shughuli nyingi na majukumu mengi ya kikazi zinazonikabili sasa hivi nimeamua kusogeza tarehe za safari yangu iliyokuwa niifanye kesho kwenda Dubai kwa Mualiko wa Emirates Airlines na badala yake nitakuja huko tarehe 29/2/2016 na nikitoka huko nitaelekea Lagos kwa Mualiko wa DSTV, again nawaomba sana radhi wapenzi wangu wa Le Mutuz Nation Dubia kwa usumbufu. Ndugu yangu Mo nisamehe sana najua matayarisho uliyonifanyia tarehe lakini hakijaharibika kitu.
- Again naomba kuwashukuru wapenzi wangu wote mliojitokeza kwenye Vodacom Tanzania Ongea Saa 1 Bure Deilee lengo lilikuwa Likes 1000 badala yake mpaka sasa zimeshafikia likes 2000 nawashukuru sana mpaka kwenye moyo wangu kwa upendo wenu hayo ni MAHABA BABY hahahaha and I love it I am super humbled!! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment