Nawakaribisha mafans wangu na wa @VodacomTanzania kwenye #VodacomHourthon kesho (Jumanne 16 Feb) kuanzia saa 9 alasiri hadi saa 10. Nitaongea na nyinyi kwa lisaa na munaweza kuniuliza maswali yote ambayo na nitawajibu. Kesho saa 9 tazama ukurasa wa Vodacom kwenye Facebook. Hii sio ya kukosa, You know #OngeaDeilee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment