Posted by Williammalecela.com on Wednesday, February 10, 2016
 |
Le Mutuz Nation leo meeting the Marketing Manager wa DSTV-Tanzania Dada Furaha Samalu ikiwa ni matayarisho ya Safari ya Le Mutuz kwenda Lagos kuiwakilisha DSTV-Tanzania katika "AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS 2016"
kuanzia March 3/2016. Le Mutuz Nation anatazamiwa kuondoka Tarehe 3 kuelekea Lagos, akifuatana na Muandishi maarufu wa Magazeti ya michezo ya Champion Salehe Jembe. |
0 comments:
Post a Comment