Thursday, February 11, 2016

@Leo nilipokutana na Sister Furaha Samalu Marketing Manager wa DSTV-Tanzania ikiwa ni matayarisho ya safari yangu kwenda Lagos kuiwakilisha DSTV-Tanzania kwenye
"AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS 2016" on a Social Media!!
- Miaka 3 iliyopita nilipoamua kui invest kwenye Social Media nilitukanwa matusi mengi ya ajabu, leo matunda yake ndio haya mwisho wa Wiki hii nitakuwa Mwanza ku Cover Social Media at "MUZIKA FESTIVAL" nikirudi next week nitaelekea Dubai kwa mualiko wa Emirates Airlines on Social Media Coverage kwenye big Marketing Event yao na nikirudi nitafanya Sherehe za Blog na kuelekea Lagos...ninasema hivi ukiwa na ndoto zako za maendeleo usisikilize watu wasiokuwa na maendeleo le mburulazzz cause watakushusha chini utakuwa kama wao le mburulazzz....I am super Humbled to my God!! na No body Can stop me!!
- le Mutuz

Comments
Natalia Ghikas
Dynes Macha
Dynes Macha Big up broth...am proud 2 U......May God blessing U...
Ashura Abbas
Eunice Mboineki
Eunice Mboineki mungu anajibu kwa wakati.kukata tamaa mwiko.hongera bro
Meshack James
Meshack James Mumgu amesikia kilio chako Le mutuz kaka
Bumy Msumba
Bumy Msumba Yeah!!
Festo Kinyondo
Festo Kinyondo True msg
Like · Reply · 1 · 11 hrs
Cirrus Mahimbi
Rehema Mtaky
Catherine Bryson
Catherine Bryson na mimi kaka twende wote...hahahaaa le super star
Sambala Ole Comrade
Sambala Ole Comrade PAPAA HONGERA SANA LE BIG SHOW
Mathew Jacob
Mathew Jacob Ukiwa na vision unafika ulipotarajia kufika hongera sana kaka.
Like · Reply · 1 · 4 hrs
Amon Mkoga
Amon Mkoga umetisha LE MUTUZ
Maki Shoki
Maki Shoki bravo my friend.
Janeg Mulo
Janeg Mulo Congratulation
Like · Reply · 1 hr
Hassan Mazala
Hassan Mazala Bravo le.mutuz

0 comments:

Post a Comment