Saturday, February 27, 2016

moe
Mwana hip hop mkongwe kutoka Tanzania Jay Moe amefunguka na kusema kuwa ukiachana na kipaji cha kughani mashairi kilichomtambulisha kwa watanzania pia ana kipaji cha upishi.

Jay Mo alifunguka hayo kwenye mahojiano yake na redio moja na kueleza kuwa alikuwa ana mpango wa kuanzisha kipindi cha mapishi lakini alikutana na changamoto kadhaa,pia akataja pilau kama chakula anachofurahia kukipika.
ukiacha kipaji cha kupika mimi nina kipaji cha kupika..huwa na enjoy kupika pilau kwa sababu nahisi ndicho chakula nachopika kwa muda mfupi sana” alifunguka Mo.
Source: clouds

0 comments:

Post a Comment