Sunday, February 21, 2016

Nimepita katika mitandao mbalimbali ya kijamii,lakini kila kona ni kilio cha Simba SC!! Mashabiki wa Yanga Vicheko..Picha za Vituko kwa watani hawa wa jadi zimekuwa gumzo,nimeona nikusogezee na wewe uone kinachoendelea,


0 comments:

Post a Comment